Mkaribisho

www.ruhago-impitagihe.com

Nyote nawakaribisha kwenye tovuti hii nimwemwita “KABUMBU YA ZAMANI” na kiwanja cya utazangaji pamoja na lengo ya kukumbusha sisi wote wapenzi wa kabumbu au mpira wa miguu wa zamani nchini Rwanda, tunabidi kaunda habari hizo na kuziwasiliana kwa watu ambaye wasikujua hata kidogo mpira wa miguu wa zamani au watu ambaye wamesahau. Nyote wasomaji wenye kupenda mchezo huyo wa kabumbu nawakumbusha tena wajibu wenu katika mradi huu kwa sababu mimi nafungua milango ya mazungumzo haya lakini hiki ni kiwanja cha wasomaji nyote kwasiliana hadithi ya mchezo wa mpira wa miguu.

Kwa matumaini, nafikiri nyote mtawahi kukusanya habari zote mtaweza kupata ili kusaidia wasomaji wengine kusoma habari hizo bila kusahau kunielezea kivipi mnaonaje tovuti hii. Nafikiri mtanisaidia kuboresha tovuti hii na mawazo mazuri au mawazo ya kujenga mtazamo bora. Asante sana

Jambo la kuzingatia

Siwezi kuhakikisha kwamba mambo yenye kukusaniwa katika tovuti hii,yanatafakari hakika wala safi ukweli.! Nimewahi kuchota habari hizo za kabumbu ya zamani kutoka wakubwa, wenye hokusai kuwasilia kwenye maandishi au wenye hukuweza kuchukuwa sauti wala picha ya habari hizi ndiyo maana uhakika wa habari hizi utakuwa na shaka

Lakini nathibitisha kwamba katika hatua hii tutaweza kugundua mambo mengi kuhusu mpira wa miguu yenye hakutujua nchini Rwanda. Hayo yote ndiyo mwanzo wa kusaidia, kuelewa na kuelimisha wasomaji hata na kufurahisha wengine watafiti wanaojaribu kugundua zaidi kuhusu kabumbu ya Rwanda, hata hivyo inabidi tuamue haraka kwa sababu wakubwa wanaojua mengi kuhusu mpira wa miguu wako wanaanza kuzeeka na kusahau.

Shukrani

Kuna mithali ya Kinyarwanda ambaye inasema “Kidole kimoja hakivunji chawa” halafu akaongezea eti “Mkono mmoja hauchinji ngombe” au “Panapo wengi hapaharibiki neno”. Nafikiri kwamba haiwezekani kudhani kazi hii ni rahisi kwa sababu ndiyo mwanzo, nisingeweza kujaribu bila msaada wa marafiki na wandugu ikiwa ni pamoja na wao: wale wachezaji wa zamani na vijana, wapenzi wa mpira wa miguu, wale wamenipokea, wenye tumeongea, pamoja na wale tumewahi kuwasiliana na msaada wa teknolojia. Hii ndiyo nafasi ya kuwashukuru wale wote wameni saidia, mara nyingine tena kutoka moyoni mwangu “Asante sana”.

Ma habari kwa Luga la Kiswahili itapatikana kwa muda mdogo